Skip to content

Agape Gospel Band – Bwana ni Mchungaji Wangu

Bwana ni Mchungaji Wangu Download, Stream, Video and Lyrics | Agape Gospel Band

Agape Gospel Band Bwana ni Mchungaji Wangu

Video : Bwana ni Mchungaji Wangu By Agape Gospel Band

Agape Gospel Band - Bwana ni Mchungaji Wangu ( Official Music Video )

Lyrics for Bwana ni Mchungaji Wangu By Agape Gospel Band

BWANA ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.

Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

Hakika wema na fadhili zitanifuata
Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.

BWANA ndiye mchungaji wangu,
Sitapungukiwa na kitu.

Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,
Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti,
Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami,
Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

Hakika wema na fadhili zitanifuata
Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele.

Connect and Follow GospelSongsNG

FACEBOOK TWITTER TELEGRAM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *